MY DAY
Leo ni siku yangu ya kuleza ukweli wa moyo wanguMimi ni binadamunilie umbwa na hisia piakama utais nakuvunjia Heshima utanisemeehe nimeshindwa kuvumiliahakika tangu naanza kuwa karibu yako moyo wangu ulianza kuvutiwa
Ulitaman uwepo wakoniliamin kwako nitatulia hakika Kila nikikaa peke yangu uwa nakufikilianarudia kusoma txt zako kichwan zajiliduiaYani nilipokufaham tu amani ya moyo ilinijianikaona hapa Ndio Mahala pa nafsi yangu kutuliaMahana unaujua ukweli wa maisha yangu Mahana nikikusimuliahata wewe ulineleza maisha ukiyopitiahakika ni ya majonzi unaitaj Kwa kukaa kutuliaulinipa nafasi ya urafikiKwa Hilo nashukul pia
nikajikuta naanza gafla kukujalisiku aiishi bila ya kukujulia halinakaa na kutafakaliila Leo nimeona Bora nikueleze ukwelihakika mie mie mie mie dah naisi utakua vizuli ila ngoja nivumilie nikuambie usijali
Hakika mwenzio Nina Nina dah jaman ninakupenda sio kiurafiki was maisha yangu siku ludi miaka nendaWala sitakutendanajua unamajonzi mazito ila kwangu yatasalenda
huo Ndio ukweli wa moyo wangu nakupenda Wala sijilaumusijakulupuka ilo fahamunilifikilia mpaka nakufikishia Leo hii salamuhakika nitakupatia mapenzi matamunipokeee hakika autaweza jilaumudaima na wewe nitadumu nipokeee my love
JE!!!Umenilizia au kwako Sina nafasi?
Mwandish ni Mimi
إرسال تعليق