Kila LA kheri dear X uwe na maisha mema

 

💜. 💔..#ACHA___NIENDE.......💔....💜
💜.....💔. Taabu na manyanyaso ndani ya penzi yamenibidi kufanya maamuzi magumu ambayo pia yananiumiza Ila tu natafta halali ya moyo Wangu 💔......💜
💜.......💔Ntafurah kama ntapata aliyesahh ambaye atanipenda na kuyafuta machozi yangu 💔......💜
💜.......💔Sihitaj kuendelea zaiidi lakn hapa tulipofikia panatosha kwasabab nimevumilia vya kutosha 💔.......💜
💜.......💔Moyo UNAPENDA moyo UNAVUMILIA moyo UNACHOKA na ukisha choka basi unafanya MAAMUZI 💔......💜
💜.......💔Unajua nilikupendah sanah lakn mpk sasa hukutaka kutambua thaman yangu ipowap 💔........💜
💜........💔 Laiti kama Ingekuwa kuna taji LA uvumilivu bhas ningeshakuwa nalo na Mara zote ningeibuka kwako maana sio Kwa dhuruma uliyonipatia 💔......💜
💜..........💔 Sasa nimeamua nkuache peke yako nikiw bado nakupendah ila haina jinsi tena utanisameh kwa maana Mimi sio wako kuanzia sasa 💔........💜
💜........💔Na kwahakika itakuw ni historia isiyo sahaulika kila wakati ambao utakosa ulichopata kwangu ndo utakumbuka kwann uliamua kunizarau na kunitesa 💔.......💜
💜.......💔Naumia sanah kwan najua hatutokuwa pamoja tena maisha yangu yote pia sitahitaj kukumbuka ya nyuma 💔.......💜
💜.......💔 Ila jitahidi na uwe makn na mtu mwngne utakae mpata maana sijajua tabia yake itakuwadje na atakuwa na lengo gan kwako 💔........💜
💜......💔Ila nakuomb umpende umthamini umjal na mvumilie maana hakuna binadam aliyekamilika 💔.......💜
💜......💔a 💔......💜

May be an image of 1 person and text

Post a Comment

أحدث أقدم