_NATAMANI.........💓

 

💓 ningekuona ukiwa na furaha Kwa wakati sahihi unajua uzuri wako umeunganikana na tabasamu moja matata 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Uwe wangu daima kwasabab mm tu nimetosheka kuwa nawe sihitaj mwingine zaiidi 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Ungekuwa sehem ya kiungo changu hakika ningefaidi sana uwepo wako 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Ujue penzi lako taamu sijawah ona 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Uwe sehem ya maisha yangu kunipenda kunijal na kunthamn kama ilivyokawaida Kwa wapenzi 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Usije niacha kwasabab bado nakuhitaj na ninakupenda 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Ujue bila wewe sina amani huwa nahuzunika pale unapokuwa mbali namimi 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Ujue na mm Nina moyo na Nina umia Kwa haya matendo unayonifanyia 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Ujue kitu kinachofanya nizidi kukupenda ni jinsi tu ulivyo kwangu ni raha tosha 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Mwakampya tukeshe pamoja ili kuukaribisha mwaka mpya ambao ni 2023 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Uzidi kuniombea panapo majaliwa bhas mwaka tutauona tukiwa wazma ndan ya PENZI IMARA 💓
✨🍒NATAMANI 🍒✨
💓 Uthamin uwepo wangu kwako Nakupenda sana Ujue 💓
May be an image of sky

Post a Comment

أحدث أقدم