
nilionao kwako

unasukumwa na

hisia, kukupa mapenzi

ya kweli nafsini

nimejitolea, tulizo la mawazo

yangu kwa sifa na kumwagia, kwa mahaba

ya tashititi nipe, nipetipeti, moyo

upate kutulia,

hakika umeumbika

na ilo umbo Mwenyezi Mungu kakushushia,

nipe yote honey usijekunibania,

si unajua mimi kwako kama maji

ya mtungi tulii nimetulia...
Post a Comment