
matamu kwako nayapata,

hakika ya menizidi niko

hoi nyaka nyaka,

sijiwezi asilani kama

nzi kwenye kidonda,

kwa penzi maridhawa

nalopata moyoni

umenitoa shaka,

hakika najivunia

wewe kukupata,

daima tuishi pamoja kwenye penzi letu tuendelee kugandana...
Post a Comment