#π™·πš„πšˆπ™Ύ__π™½π™Έπš†π™°π™Ίπ™Ύ_𝙼𝙿𝙴𝙽𝙳𝙴 😍😍

πŸ’žπŸ’› kama ulivyo mfuata nakumueleza kwamba unamuhitaj bhas nenda kwa nia ya kumpenda nasio kumchezea πŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’›Najua wanawake wanajua kupenda hvyo usije kubal kumtenda mwishowe kwingine akaenda utailaumu sana nafsi yakoπŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’›Haijalishi upo katika hali gan lakin pamoja nayote usisahau kwamba ww ni nan kwake kumbuka karidhika kuwa na ww kwenye hii hali πŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’›Hata kama utapata kazi ya ubize sana ukishamaliza majukumu au ukipata free kidogo mtafte anza na neno SAMAHANI alafu akisharidhia anza kumjulia hali then kama kawaida mapenzi kupeti usisahau maneno matamu kwaajili yake πŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’›Usije msahau katika ndoto yko usimsahau yeye pia  mshirikishe kwenye mambo yako hii itamfanya azidi kukupenda πŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’›Mkiwa pamoja bhas muulz kwa wakati huu ambao tuko pamoja unataman nikufanyie nn? Huenda ataona Aibu bhas jarbu kuchukua cm then mchatishe japo mpo karbu ili akwambie nn anataman kwa wakati huo πŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’›Mjengee mazingiraya yeye kukuamini nina Iman atazidi kukupenda na kukuvumilia Mwanamke wakwel huwa na moyo mmoja tu Ambao hauhitaj gharama juu yake πŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’›Umempata anayezijua shida kuliko raha huyo ishi nae mpende πŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’›Umempata anayekupenda huyo mpende usimuache aende πŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’›Ukiijua maana ya Neno nakupenda nadhan utaelewa kwann unapenda kuna wakat utafika utaona hana umuhim kwake hilo usijal ww mpende 2 πŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’›Usisahau kumvumilia hata yeye ni binadam pia maana hakuna aliyekamilika πŸ’žπŸ‡

πŸ’žπŸ’› ukifanikiwa usibadilishe mwanamke ila badilisha maisha yake kwasabab huyo ndie ulie anza naye πŸ’žπŸ‡

πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆDah niliiokota hii picha sehem nikaona si mbaya kama ntatolea funzo lake 🀣🀣 sijui nimepatia au πŸ™ˆ

thanks sana Nango aberuka iman smart njoine pata utamu na wengineo ambao mnasupport sana waandishi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Cm no for love sms  +255622411656

Post a Comment

Ψ£Ψ­Ψ―Ψ« Ψ£Ω‚Ψ―Ω