.#USIPUNGUZE WIVU MUME WANGU 🍰💞

                        🍰🍰🍰🍰🍰🍰

💞🍰 Najua unaumia kwasababu ninamarafiki wengi wakiume Ila usijl mpnz wangu kuanzia sasa ntawapunguza 🍰💞

💞🍰 Najua unanipenda Sana mpnz wangu ndiyo maana unaumia kila nikienda tofauti nawe 🍰💞

💞🍰 Nakuomba usinichoke mpnz wangu Wala kubadili maamuzi kwasababu sio wewe tu hata Mimi nakupenda 🍰💞

💞🍰 Punguza vyote lakn wivu usiiupunguze sababu hio ndo maana halisi ya mapenzi Ila ukipunguza ntaamini kwamba hunipendi 🍰💞

💞🍰 Hakuna hata mmoja ambaye atakuja na kukupokonya nafasi niliyokupa wewe 🍰💞

💞🍰 Daima utabaki kuwa mfalme wa mapenzi Yangu. Penzi nimekulindia Hakuna wakukuibia 🍰💞

💞🍰 Niamini Mimi sio muhuni nawala sio wakudanganya nachojua ukinipenda wewe inatosha 🍰💞

💞🍰 Nipo tayar kufanya lolote lakn sio kukuweka mbal na Mimi 🍰💞

💞🍰 Nimezoea kuwa nawe Nimezoea kufurahia nawe 🍰💞

💞🍰 Kwasababu haujawah Nipa presha ya moyo 🍰💞

💞🍰 Imekuwa Kama bahati kwangu kukupata wewe ujuaye thaman ya penzi 🍰💞 

💞🍰 Nataman niendelee kukupa furaha 

💞🍰 Nataman uendelee kunipenda Kama navyokupenda Mimi 

💞🍰 Nataman niwe kila ktu kwako kwasabab Sina mwngne aliye zaiid yako 🍰💞

💞🍰 Nakupenda mpnz wangu ❤️

..................................

💞🍰 USIPUNGUZE WIVU  MUME WANGU 💞🍰


Post a Comment

أحدث أقدم