💞✨NIKUAMBIE KITU ✨💞

mwenzako kila siku huwa siwez kupata usingizi bila kuiona message Yako 💖 

💞✨NIKUAMBIE KITU  ✨💞
Najua unawivu na mimi lakn nakuahidi hata wakinipenda wangap me sitakubali kuitupa nafasi Yako 💖

💞✨NIKUAMBIE KITU ✨💞
Mapenzi ya wivu yamenitawala naomba ufanye kitu niwe na amani kwasabab bila ivo huaa naumia sana kwajili yako 💖

💞✨NIKUAMBIE KITU ✨💞
Tangu nimiliki moyo wako ninajionea raha ambayo sjjawahigi pata hap mwanzoni 💖

💞✨NIKUAMBIE KITU ✨💞
Nataman Uwe muwazi kwangu ili nizidi kukuamini 💖

💞✨NIKUAMBIE KITU ✨💞
Hata miungu ingeniomba nichague mmoja tu wakwenda nae safari ya milele Hakika ningekuchagua Wewe 💖

💞✨NIKUAMBIE KITU ✨💞
Wengi wanaupendo wadhati wengi ni wazuri lakn hamna anayekuzidi Wewe 💖

💞✨NIKUAMBIE KITU ✨💞
Hata nikiwa ndotoni mtu akiniuliza moyoni mwako yupo nan hakika nitakutaja Wewe 💖

💞✨NIKUAMBIE KITU ✨💞
Mwenzako nakupenda Yaan umejua kuziteka hisia zangu na kuzituliza 💖

💞✨NIKWAMBIE KITU ✨💞
moyo wangu unafuraha sana kwasababu ya uwepo wako 💖

💞✨ NIKWAMBIE KITU ✨💞
Always ntabak kwako kwingine sitakwenda  ...  💖

💞✨NIKWAMBIE KITU ✨💞
pamoja na yote uliyonitendea na kunipatia niahidi hautokuja kunitenda    💖

Post a Comment

Previous Post Next Post