sms tamu ya kumtumia mpenzi wako Wakati wa birthday..


KEKI POA: KEKI ZA BIRTHDAY

PPDear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia,
hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia,
hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,
zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.
Happy Birthday mpenzi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Post a Comment

Previous Post Next Post