sms tamu za kumtumia mpenzi wako Wakati wa birthday.


Happy birthday images free stock photos download (971 Free stock ...Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wakwe zangu,
unajua ni kwa nini? Ni siku waliyokuleta kwenye hii dunia,
happy birthday mpenzi!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Happy Birthday Sweetheart - Programu zilizo kwenye Google Play

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi
akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Post a Comment

Previous Post Next Post