SMS YA MCHANA MWEMA KWA MPENZI WAKO.


Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazo kumwagia fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu fungua cm yako uone jinsi gani ninavyo kukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu nakutakia MCHANA MWEMA

Post a Comment

Previous Post Next Post