1. Kama ningepewa uwezo wa kuondoa kitu hapa duniani, basi ningeondoa umbali kati yetu. Nakumiss sana mpenzi wangu.
2. Maisha ni mafupi so tuvunje sheria pale tunapohitaji. Napo ni tuishi kikamilivu na tupende daima.
3. Sikuwa najua kwanini haswa mtu anaweza kumuangalia mwingine na kutabasamu bila sababu zozote hadi ule wakati nilipokutana na wewe. Nataka uwe wangu.
Post a Comment