SMS KALI ZA MAPENZI KWA AJILI YA MPENZI WAKO!!!!!

Wema, Diamond Mahaba Motomoto Instagram ~ MUBASHARA BLOG

Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi
umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama
hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA
MWINGINE ZAIDI YAKO”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani
nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi
kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali
hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

Post a Comment

Previous Post Next Post