SMS ZA MAHABA MAZITO

USIACHE KUDOWNLOAD PICHA HIZI ZA MAPENZI Sms MPYA | 49 Quotes

Lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie
karima zitimie njozi zako.usiku mwema
..............
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lkn yanatonesha,wala si maradhi lkn yanaumiza, wala si njaa lkn yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa unaempenda

Post a Comment

Previous Post Next Post