SMS Za Mapenzi Ambazo Zitamnyegeza Mpenzi Wako..

SMS nzuri na tamu za Mapenzi na Mahaba kutoka kwa Malitoli - Home ...
1. Kama ningepewa nguvu za kuweza kurudisha kumbukumbu za awali, basi ningerudisha hadi ile siku ya kwanza nilipokuangalia machoni na nikakuangukia kwa kukupenda. Nakupenda mpenzi wangu.
2. Hata kama nimeshindwa kuwa chozi lako, na pia kushindwa kuwa tabasamu lako, lakini kwako umefaulu kuwa hewa yangu ambayo inanifanya kuwa hai kila siku.

Post a Comment

أحدث أقدم