NISAMEHE MPENZI WANGU;;

SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO | The bestgalaxy

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe

nafasi nyingine moyoni mwako!
Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!



Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi!

Post a Comment

أحدث أقدم