MSG KALI ASUBUHI YA LEO ZA KUMFANYA MPENZI WAKE ACHAPE KAZI

 

Unajuwa mara nyingi hac huhitaj
chanya ili kuwa xhia umeme na wa2 waka faidika na umeme huwo ila mwana ume au mwana mke huhitaj mwenzake wa jinxia tafaut ili kutimiza lengo lake alilo jiekee mwenyewe nina maana kwamba ndoa alafu kupata mtoto hilo ndo lengo kubwa la mwanadam na itakuwa cyo vibaya kama utayajua malengo yangu yapo vp kwako nataka utambue
mm cja 2mwa na m2 yyte yle ilikuja kuharibu malengo ya maixha yko bali ni mxukumo wa moyo wng kuwa ww ndo mwana mke halali wa maixha yangu kiukwel nataka uwe mpenz wng ili uje kuwa mke wng yan mama wa watoto wng.
#######
Ukipenda umekubali kuwa mwendawazimu usiyeeleweka, maana utapenda mwenzako awe na furaha hata kama wewe huna, utapenda ale vizuri, aishi pazuri hata kama kwako ni majanga.

Mwendawazimu mzuri ni yule mwenye kupenda zaidi kwa sababu hujisahau hata yeye kwa ajili ya furaha na thamani ya mwingine.

Mwenye kusema anapenda na kukosa uwendawazimu huu anakuwa na unafki fulani hivi....

#####

Umuhimu wa kitu hauonekani,Mpaka kusudi LA kitu lianze kufanya kazi.Ukitaka umuhimu wako hapa Duniani uonekane anza kuishi kusudi lako la  kufikia ndoto zako.Nakupenda ndug yangu.

#####

Pole kwa kazi,pia hongera kwa kazi.                                                  HII NDIO TIMU YA
        "MUNGU"
REFA wa timu hii ni ROHO MTAKATIFU"... Wachezaj ni:,
  1- IMANI
  2- BUSARA
  3- UPENDO
  4- UKWELI
  5- UVUMILIVU
  6- UAMINIFU
  7- HURUMA
  8- MSAMAHA
  9- HESHIMA
  10- UKARIMU
  11- HAKI
Jee, katika KIKOSI him I, wewe unacheza namba ngapi?
        Au uko BENCHI                      Nikutakie uck mwema na maandalizi mema za ibada za kesho

###

Unapo taka kufanya jambo usiangalie wanadam watasema nn nyenyekea mbele za mngu akupe maarifa ya ushindi

####

Makovu yako ndio utukufu wako!

Pengine umejikuta katika hali ya kukata tamaa na kufadhaika kwa sababu ya majaribu ya namna mbali mbali unayoyapitia! Yamkini wale ulowatarajia kusimama nawe hawaonyeshi kujali! Usilalamike! Mungu huzitumia nyakati zetu ngumu katika kutujenga na kutufanya vile anavyotaka tuwe kabla hatujainuka katika viwango vingine!

Siku njema!

Post a Comment

Previous Post Next Post