Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA.

kila kilicho “”MOYONI”” si rahisi kukitoa,Akuthaminie Hukuona “”GHALI””,akukumbukae juwa amekuhifadhi “”MOYONI”” na “”AKUNPENDAE”” Hachoki Kukuombea “”MEMA ucku  mwema  hny. 
…………

 Tunda gani liwe mfano wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema 

Post a Comment

Previous Post Next Post