Mchana mwema kwa mpenzi wako.

 

Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana 


Katika hadithi zile za kale, 
Watu walipendana nyakati zile, 
Kwa mapenzi matamu yenye ukweli, 
Mapenzi yao hayakujali mali, 
Mapenzi yao yalipendeza sana, 
Mapenzi yao ya kuaminiana, 
Mapenzi yale mie nayatamani, 
Ninayahitaji kutoka moyoni, 
Ninajuwa mapenzi hayachagui, 
Yanapojenga moyo wenye uhai, 
Kuna mioyo inajuwa kupenda, 
Mapenzi yake hayawezi kupinda, 
Mapenzi yawezayo kukuzuzuwa, 
Mapenzi moyoni yaliyotulia, 
Mapenzi halisi ninayoyaimba, 
Ambayo kutoka kwako nayaomba "nice noon my love.



Dhamira kuu ya Moyo wangu

ni Mapenzi, kukupenda kwa

dhati bila kipingamizi, kuishi

nawewe kihalali kwa kudra za

wazazi, Nipende nikupende

Tudumishe Mapenzi.

“NAKUTAKIA MCHANA

MWEMA MPENZI WANGU

Post a Comment

Previous Post Next Post