ANZA SIKU NA MSG HIZI TAMU

 

Wewe ni asali nami ni haluwa penzi letu ni ghali si lakununua japo upo mbali lakini penzi letu linazidi kuchanu

#######################






Najua moyo wangu umekuchagua wewe na kukutumia zawadi hii ili uwelewe kwamba nakupenda sana nakujali zaidi nakudhamini kuliko nakutakia kila lakheri pamoja na dua njema SIKU NJEMA SWEET
++++++++++++++++++++++++++

Post a Comment

Previous Post Next Post