BORESHA PENZI LAKO KWA SMS HIZI NZURI

 




Ooh my ,,,,,,hivi ni kweli umebanwa na kazi au unaniwekea pozi mawasiliano yalikua ayaishi tulipo lianza letu penzi Leo si cm wala sms nizipatazo kwako mpenzi hakika unipendi siku hizi enewei sina jinsi zaidi ya kumshukuru mwenyezi

++++++++++++++++++++++++++

Mpenzi hakika ningekupa ila talehe mbaya zimefika aliyahewa imechafuka vumilia wikiendi ijayo nitakupana pupa mbivu zako nitakupa hakunamwingine wa kumpa lov u

Post a Comment

Previous Post Next Post