LOVE SMS

 Sijakupenda leo kwa sababu tumekutana,,, nilikupenda toka watoto hadi leo nakupenda sana....!!!



Mapenzi ni safari~unifanye ni nauli yako...!!!

Mapenzi ni maradhi~unifanye daktari nikutibu maradhi yako...!!!

Mapenzi ni kiu~ niwe maji jagwani nikupoze koo lako....!!!

Mapenzi ni kama chakula~unile maishani mwako.....!!!

Mapenzi ni kama asali~niwe radha mdomoni kwako.....!!!

Hakika mimi ni wako,,,ondoa shaka moyoni mwako.....!!!!

NAKUPENDA LAAZIZ WANGU...............

                 &~~*~~*~~*~~*~~*~~*~~*~~*~~&


S d ...!!!

Post a Comment

Previous Post Next Post