HomeI MISS YOU SMS NZURI KWAYULE UMPENDAYE KWA DHATI YA MOYO WAKO TEE June 23, 2021 0 Sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidiyako. Wewe ni wa pekee maishani mwangu. Mwenye kujua hisiamoyoni mwangu.Mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi. Nakupenda kipenzi.
Post a Comment