NAKUPENDA SANA LAAZIZI


 

Naukunjua moyo wangu uishi milele maishani, nafungua

nafsi nikupende wewe pekee, nafunga milango ya moyo wangu

ili kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako

mpenzi. Nakupenda sana laazizi

♥●´¯`´¯`●♥¡¡♥●´¯`´¯`●♥

Post a Comment

Previous Post Next Post