- Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu Ndilo sababu ya nguvu yangu Tangulia pembeni mwa macho yake Asubuhi hii hadi usiku ujao.
-Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe Uwe na Asubuhi Njema My love
Post a Comment