YAFAHAMU MAMBO MATANO(5) YANAYOMFANYA MWANAMKE KUHISI MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA(DYSPAREUNIA)


Tendo la ndoa kwa kawaida huwa ni lenye kuleta furaha na starehe kubwa pale mume na mke wanapokutana.  Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, katika wanawake wanne, mmoja anaweza kuhisi maumivu wakati wa anapofanya tendo la ndoa. Na hali hiyo inaweza kusababisha usumbufu mkubwa, na utakuta kwamba wanawake wengi hufikia hatua ya kufanya maamuzi ya kutokushiriki tendo la ndoa na wenzi wao.

Matokeo ya picha ya image of a woman feeling pain during sexual intercouse

NUKUU: Katika makala hii tunapenda kukuelezea sababu mbalimbali kwanini tendo la ndoa linakufanya kuhisi maumivu ukeni? Na hivyo tunapenda ufahamu kuwa kuna hali ya kukufanya uwe na mashaka, kukosa hamu au hisia ya mapenzi, nk.

Tunashukuru sana utakapoelewa somo hili kwani James & Ferdinand Herbal Clinic itakusaidia kupata njia ya kuweza kutatua tatizo hili.

Zifuatazo ndizo  Sababu Zinazofanya Mwanamke Kuhisi Maumivu Wakati Wa Tendo La Ndoa:

Kutokupata Hisia Za Tendo La Ndoa

 Moja ya vyanzo vikuu vya maumivu wakati wa tendo la ndoa unaweza kukosa kabisa hamu au hisia za tendo la ndoa. Jambo linalowafanya wanaume wengi mara kwa mara kuwa tayari kwa ajili ya tendo la ndoa, linaweza kuwafanya wanawake kujisikia vibaya katika kuhitaji muda mwingi kuwa na nyege.

Matokeo ya picha ya image of a woman do not feel  sexual intercouse

NUKUU: Hali hii badala yake inaweza kumfanya mwanaume kuhisi sehemu ya uke kuwa ni kavu pale anapoingiza uume wake.Maambukizi

 Maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile pangusa au kisonono yanaweza kusababisha maumivu ya nyonga wakati mwanamke anapofanya tendo la ndoa na mwenzi au mume wake.Hivyo mwanamke anapokuwa akihisi maumivu katika maeneo ya mashavu ya uke, yaweza kuwa kwasababu ya vipere au michubuko inapojitokeza.

Matokeo ya picha ya image of a woman feeling pain during  sexual intercouse

NUKUU: Maambukizi ya fangasi sehemu za siri huwa sio magonjwa ya zinaa lakini nayo pia yanaweza kumfanya muhusika ajisikie maumivu, muwasho au hali ya kuwaka moto pale anapoingiziwa uume na mpenzi au mume wake.

Kipindi Cha Kukoma Hedhi

 Pale mwanamke anapofikia kipindi cha kukoma hedhi, basi vichocheo au homoni za tendo la ndoa hushuka chini kabisa, hali ambayo humpelekea mwanamke maeneo yake ya uke kukauka na kumfanya kuwa na michubuko.


Kukauka kwa uke ni hali inayotibiwa kwa urahisi sana lakini inaweza kusababisha mateso makubwa kwa mwanamke pale inapomzuia kufanya tendo la ndoa.


Kiwango chake cha homoni ya estrogen ndicho hufanya misuli ya uke wake kuwa yenye afya na pia husaidia kuzarisha na kutoa uchafu ambao sio tu kwamba husafisha eneo la uke, bali pia hutoa ute wenye kulainisha uke wakati wa tendo la ndoa.


Matokeo ya picha ya image of a woman with menopause feeling pain during  se


NUKUU: Hii pia inaweza kuepelekea kuta za uke kuwa nyembamba ambazo kitaalamu tunaita, “Vaginal Atrophy” hali ambayo inaweza kufanya kuwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.


Kwa bahati nzuri, James Herbal Clinic tunatiba nzuri za asili juu ya tatizo hili.

Misuli Ya Uke Kubana(Vaginismus)

 Chanzo kingine kikuu cha maumivu wakati wa tendo la ndoa huwa ni hali ya  misuli ya uke kukaza, hali ambayo husababisha misuli ya maeneo ya nyonga kubana kabisa. Maumivu utayapata mwanamke wakati mwanaume anapoingiza uume ukeni mwako.

Kukakamaa kwa misuli ya uke kunaweza kuharibu kabisa maisha ya mwanamke na kumsababisha yeye apoteze ujasiri wote anapokuwa kitandani wakati wa tendo la ndoa. Pia hali hii humpelekea mwanamke kuwa na matatizo katika mahusiano hata kumfanya mwanamke asipate ujauzito.


Matokeo ya picha ya image of a woman with Vaginismus during  se


NUKUU: Kumbuka kuwa tatizo hili hutofautiana kwa kila mwanamke kwasababu baadhi ya wanawake hushindwa kuingiza kitu chochote ukeni, lakini baadhi yao nao huweza kuingiza na kufanya tendo la ndoa lakini kwa maumivu makali.

Kuota Kwa Tishu Juu Ya Ukuta Wa Ndani Wa Tumbo La Uzazi

 Kuota kwa tishu ndani ya ukuta wa tumbo la uzazi husababisha maumivu ambayo hujitokeza wakati mwanamke anapofanya tendo la ndoa.


Tishu hizo hufanya kazi kama tishu za ukuta laini wa tumbo la uzazi kwani huota pia nje ya tumbo la uzazi. Viungo vya uzazi huzunguka kidogo wakati wa tendo la noda, na kama tishu zina majeraha au vidonda husababisha nyonga na shingo au mlango wa kizazi kupata maumivu.  Mbali na hayo, kuota kwa tishu kunaweza kutokana na vivimbe kwenye vifuko vya mayai ambavyo vinaweza kusababisha masumbufu na maumivu kwa muhusika.

Matokeo ya picha ya image of a woman feeling pain  during  se

NUKUU: Kumbuka kuwa, uvimbe kwenye mayai husababisha mwanamke kuhisi maumivu makali wakati anapofanya tendo la ndoa.

Tiba Zake

Je, unasumbuliwa na tatizo la kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, kukosa hisia au uke kuwa mkavu? James & Ferdinand Herbal Clinic tuna dawa nzuri kabisa za kuondoa matatizo haya, nazo ni FRESH HERB, VITAMAKA na MOTHER MEDICINE.

NUKUU: Pia tunatoa darasa la masomo ya afya bure katika GROUP letu la telegram. Unahitaji kuunganishwa, basi unaweza kutuma namba yako ya telegram au ya whatssap ukauunganishwa na ukazidi kupata maarifa zaidi pia na huduma ya afya.






 

Post a Comment

Previous Post Next Post