Ujumbe maridhawa kwa umpendae

 Sms 11: Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"

 Sms 12: Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"

 Sms 13: Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. "NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU"

 Zengine ni hizi hapa . . . .

 I am opening an emotional bank account for u sweetheart, so deposit your love in it and you will get the interest!

 *****
 Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo wangu!
 *****
 If I could die early I would ask God if I could be your guardian angel, so I could wrap my wings around you and embraces you whenever you feel alone...
 *****
 Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwa moyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu, tupendane daima lahazizi…
 *****
 It is hard to talk when your in love because when I look into your beautiful I get my breath taken away… 

*****
 Midomo yako inanichanganya, macho yako yananivutia, umbo lako linaniacha hoi, wewe ni wangu wa ubani siwezi kudanganywa na walaghai…
 *****
 Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyoni mwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wako daima, nakupenda dear…
 *****
 R. for red , red for blood , blood for heart, heart for love, love for you, you for me, me is you , I love you ma’ dear!
 *****
 Hiki ni kipindi muhimu kwetu, kuoneshana mapenzi ya kweli, wanafiki wabaki kimya kwa aibu zao…Sms 11: Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"

 Sms 12: Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"

 Sms 13: Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. "NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU"

 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbRu2wAWHvpjnLOLIrtORBFAAmyz2rhtf2_bnTfFPIrOYISUkIQNuAV-LB_sMoS34-1sO0lU26Vt3HrwVelWpd4Vc5cyTxE2OVsYo0g1j2H5kgD4g04C9y0mm6vnm1MUjBw5NP__ZCFQE/s1600/TeyanaTaylorComplex7.jpg

 I am opening an emotional bank account for u sweetheart, so deposit your love in it and you will get the interest!

 *****
 Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo wangu!
 *****
 If I could die early I would ask God if I could be your guardian angel, so I could wrap my wings around you and embraces you whenever you feel alone...
 *****
 Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwa moyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu, tupendane daima lahazizi…
 *****
 It is hard to talk when your in love because when I look into your beautiful I get my breath taken away… 

*****
 Midomo yako inanichanganya, macho yako yananivutia, umbo lako linaniacha hoi, wewe ni wangu wa ubani siwezi kudanganywa na walaghai…
 *****
 Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyoni mwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wako daima, nakupenda dear…
 *****
 R. for red , red for blood , blood for heart, heart for love, love for you, you for me, me is you , I love you ma’ dear!
 *****
 Hiki ni kipindi muhimu kwetu, kuoneshana mapenzi ya kweli, wanafiki wabaki kimya kwa aibu zao…

Post a Comment

أحدث أقدم