Ujumbe wa Mahaba wa kuomba msamaha kwa mpenzi wako

<> Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako.             Lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu. Maana nitakupoteza kila muda nilipo.

=> Teke la kuku halimuumizi mwanaye, sawa na dhati ya Mapenzi haiumizi moyo wa ampendaye,             tugombane sasa hivi tupatane baadaye, najua hakuna wasiogombana. Kama wapo siku                         wakigombana wataachana.

                           

Post a Comment

Previous Post Next Post