Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi… na
mapenzi huanza na mimi na wewe.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mvua na jua haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchana
hazigongani, lakini mimi na wewe, hata wasemaje,
‘tunafiti’ kuwa pamoja.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha,
mimi si ‘Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi
nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo?
Post a Comment