Mchana mwema mpenzi

 Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali wala sihisi kwako nimejitolea, kwangu toa wasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii nafasi moyo umekuchagua …………..

Moyoni mwangu hutoki nakuomba ukubali, nawala sibadiliki hilo kwangu ni muhali, si km sikukumbuki zimenijaa shuhuli, ww kwangu si rafiki ni ndugu nnaekujali ………



Post a Comment

Previous Post Next Post