Penzi lakoni tamu sijui uchungu wa sumu ya usaliti naelewa kila nkikuona unaongeza njonjo za kunfanya nfurahi na umenshika najiona nimeshiba utamu wa maraha yote love you babe
Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.
****
I asked God for a rose and He gave me a garden. I asked God for a drop of water and He gave me an ocean. I asked God for an angel and He gave me you!
Post a Comment