MCHANA MWEMA"

 Mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumu

kufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele  kwa

kuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye na

mashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhat

na mapenz mazito zito,

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

 Macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman

kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila

mwili wangu upo kwa ajili yako dear

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe

huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno

hayapo kwake,

nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo

tayar kumsaliti na lbd aanze yeye""

 



Post a Comment

Previous Post Next Post