SMS nzuriiii ya kumpa mtu hai.



Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI, Usione najidai, ila mimi naringia UHAI, Haya basi pokea HAI, ili moyo wako ufurahi. HAIIIIIIIIIIIII!!!

 Asante sana kwa kugusa maisha yangu kwa njia ambazo huwezi kujua. Utajiri wangu haumo katika vitu vya kimwili bali kuwa na marafiki kama wewe.

Tunaweza kupoteza kitu kizuri kila wakati kwa mtu mwingine, Lakini hatupaswi kupoteza mtu mzuri kwa kitu, kwa sababu maisha yanaweza kurudisha kitu lakini sio mtu huyo!

Post a Comment

Previous Post Next Post