Nice night.


Asali wa moyo wangu,fahamu kuwa unaweza kuamini kwamb mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza kusimama,lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.

  ………………….

 Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na wa mahaba kwenye kope zako,naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako  Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA.





Post a Comment

Previous Post Next Post