Oh baby utanikumbuka.

Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea majonzi, asante sana mpnz!

      •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Tangu nilipokufunulia pozi waniletea, mawasiliano yamepotea na kila tupangapo mihadi kwako huwa ngumu kutokea, niweke wazi nijue kama ndiyo mwisho wa penzi letu .





Post a Comment

أحدث أقدم