Penzi la kweli hudumu milele.

 Mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila kujali.

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

 Mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi ganiunanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako haliwezi futika. NAKUPENDA



Post a Comment

أحدث أقدم