I love you.

  Mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni

zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi gani

unanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako

limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako

haliwezi futika.


   NAKUPENDA

 Pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatia

na hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo

,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongeza

furaha,je we unaitumiaje silaha hiyo?





Post a Comment

Previous Post Next Post