Dhamila kuu ya moyo wangu ni mapenzi kukupenda kwa dhati bila kipingamizi kuishi na wewe kihalali kwa kudra ya mwenyezi nipende nikupende tudumishe mapenzi NAKUTAKIA SIKU NJEMA
Mpenzi kwa mala ya kwanza nilivyo kuona niliogopa kukwambia hatanilipo kuambia niliogopa kukupenda nilipokupenda naogopa mno kukupoteza sikotayali kukukosa mpenzi
Post a Comment