Home 💋💓. #GIFT___FROM....... TEE December 18, 2022 0 . Gari la mapenzi limenisafirisha na kunitua kituo salama Kituo hicho ni kwako mpenzi Kabla sijafika kwako nilitaman kufanya kitu kwaajili yako Nilifumbua fumbo pia nikahitaj tabasamu lako lisifike ukingo hakika ww ni dereva na mimi niwako tingo Nilikuahidi ipo siku ntaifanya siku yako iwe yenye amani na furaha tele Tena nilitaman ukiiona ufurahie sana Hata ikiwezekana upige vigelegele Unajua nn kpnz me nakupenda sana ww ila najua kuna watu hawapendi tuwe pamoja nataman sana niwatoe viherehere Natamani nikupe zawadi nzuri yenye kupendeza utakayoipenda zaiidi ya zote Zawadi Ni ishara ya upendo ya upendo kwa yule nimpendae nami sina mwingine zaiidi yako Naamini utaipokea na kuifurahia mbele yangu kwasabab si yamwingine hio ni yakwako kama vitam basi litam penzi lako ,, sina cha kusema kwako ni raha... Machoni mwangu wanivutia mashallah, nikiwa taaban we ndiyo kipepeo changu cha kunifariji Nikiwa jotoni ewe ni kiubaridi changu cha frijiSasa nitakupenda naahidi
Post a Comment