NIPE_UPENDO............



*****_******_******_********
❤️Moyo wangu umerubuniwa na penzi lako. ♥️Sijui kwa nini na kwasababu gani gafla tu najikuta nakupenda mi mwenzako♥️. Hua naishiwa nguvu ninapo isikia sauti yako, ♥️mlevi mimi sioni mwengine zaidi ya wewe tu uzuri wako.♥️ Umbo lako mwenzio hoi taabani nikuonapo. ❤️Nikupe nini m2 kama wewe ili uhisi nipo ndani ya moyo wako. ♥️Nikupe upendo,♥️ nikupe sifa niliteke penzi lako.♥️ Nikupe hisia..ujue nimedata na dunia yako ...♥️oooohhh wawoooo...❤️nimekumbuka ki2...♥️Nimetokea kukupenda mi mwenzako.♥️
💝Kila nikikuangalia naisi kaupendo fulani.💝 Ukweli nashindwa kukuambia ,💝 naogopa kataliwa jamani, 💝Mipango njama usiku kucha nakuwaza wewe wa moyoni.💝 Nawaza nikupe zawadi gani ili uniamini.💝 Ukweli nakupenflda na sitarajii kukuacha maishani.....💝I love you so much Mwaaaaaaaaaa....my Darling.💝

Post a Comment

Previous Post Next Post