NITAKUMISI_MPENZI

 

|>>>>>>>>>>>>>>>>>|
💞Nasikitika nitabaki na nani endapo ukiondoka,💞 nani atanita "my" nani atanita "mume" ukiondoka. 💞Nitabaki kua mpweke machozi yakidondoka,💞 Sina wa kunifuta yatakapo bubujika.💞 mbinu za ndugu na wazazi wako zikisha kamilika.💞 Ukisha kua mbaali mipango yetu yote itaaribika. 💞Najua fimbo ya mbali haiyuwi nyoka hilo linafaamika. leo unafuraha ila ipo siku nawe utauzunika💞. Iyo safari uiyendayo,💞kua makini mpenzi nisije kudhalilika.💞
Siku zote nitakukumbuka mpenzi wangu. 💞Uendako naomba unikumbuke usije niadhibu kwa makosa yangu.💞 Najua mimi sio wa kwanza kunisahau ni rahisi sana kwa tabia zangu,💞 najua ipo siku mbele za watu utaukana moyo wangu.💞 Najua ipo siku nitalia peke yangu. 💞Safari haina dhamana abilia plz n
May be an image of 1 person, plaits, standing and outdoors

Post a Comment

Previous Post Next Post