Ndoađź‘„, nakukabidhi hawa wawili kwa moyo mkunjufuđź‘„

 #NDOA.......

"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
. Najua hakuana alie kamilika kila mmoja ana yake mapungufu.đź‘„ Naomba uwatunze na kuwalinda juu ya shetani msumbufu. đź‘„Nia yao ni kuishi milele na sio kiduchu. đź‘„Kiapo chao kisikate mkufu.đź‘„ Ndoa istiri mioyo yao iwe imara maradufuđź‘„. Wasiwe na tabia za mwewe kula mzoga kuacha mnofu.đź‘„

đź’‹Ndoa, đź’‹wakumbushe kuwa waendako kuna milima na mabonde. đź’‹Waongeze nguvu na jitihada katika kutafuta tongeđź’‹. Uvumilivu unaitajika ili miili yao isikonde. đź’‹Ukaribu na mazoea wasijenge kwa upande.đź’‹ Ndoa, waeleze safari yao ni kubwa kipande. đź’‹Kikubwa uwaminifu...nakutegemea kila bora ulijengeđź’‹
May be an image of 2 people

Post a Comment

Previous Post Next Post