ππΊππΊππΊππΊππΊπ
ππΊπMy dear najua siku nyingi ulikua na hamu ππΊπ yakupata nafasi hii ya upendo kutoka moyoni mwanguπΊππΊ
ππΊπHayawi hayawi sasa yamekuwa ππΊπ Moyo wangu ukotayari penzi la dhati kukupatiaππΊπ
ππΊπIsitoshe utakuwa derevaππΊπ Na mimi tabakia kuwa wako abiria Nikupe masham sham hujawahi kupewaππΊπ
ππΊπChozi la mahaba litamwagika kwa utamu kukoleaππΊπ nitahakikisha unaniita majina yoteππΊπ mpaka ambayo sijawahi kuskiaππΊπ
ππΊπNikipenda napenda kweli sijawahi tania ππΊπ
ππΊπKaribu wangu my dear ππΊπ funguo ya moyo wangu nakukabidhiππΊπ fungua ingiaππΊπ
ππΊπMoyo wa mtanashati na handsome anaejitambuaππΊπ
ππΊπNakukaribisha kwenye moyo wangu uwe MalikiaππΊπ
ππΊππΊππΊππΊππΊπ
#THE_NUMBER_ONE_FOR_ME_
Post a Comment