Hayawi hayawi sasa yamekuwa Moyo wangu ukotayari penzi la dhati kukupatia
Isitoshe utakuwa dereva Na mimi tabakia kuwa wako abiria Nikupe masham sham hujawahi kupewa
Chozi la mahaba litamwagika kwa utamu kukolea nitahakikisha unaniita majina yote mpaka ambayo sijawahi kuskia
Nikipenda napenda kweli sijawahi tania
Karibu wangu my dear funguo ya moyo wangu nakukabidhi fungua ingia
Moyo wa mtanashati na handsome anaejitambua
Nakukaribisha kwenye moyo wangu uwe Malikia
Post a Comment