Home KARIBU_MOYONI_MWANGU_MY_DEAR TEE February 15, 2023 0 My dear najua siku nyingi ulikua na hamu yakupata nafasi hii ya upendo kutoka moyoni mwanguHayawi hayawi sasa yamekuwa Moyo wangu ukotayari penzi la dhati kukupatiaIsitoshe utakuwa dereva Na mimi tabakia kuwa wako abiria Nikupe masham sham hujawahi kupewaChozi la mahaba litamwagika kwa utamu kukolea nitahakikisha unaniita majina yote mpaka ambayo sijawahi kuskiaNikipenda napenda kweli sijawahi tania Karibu wangu my dear funguo ya moyo wangu nakukabidhi fungua ingiaMoyo wa mtanashati na handsome anaejitambuaNakukaribisha kwenye moyo wangu uwe Malikia — with Scania Brando.
Post a Comment