I MISS YOU





mapenzi ni kama mti uchanuapo ukinyeshewa mvua hunawili yanapo lelewa na utoa matunda pindi yanapo thaminiwa gharama ya tunda litokalo mtini hapo utegemeana na ubora wake nasi tulifanye penzi letu liwe bora na lenye kuthaminiwa



Natamani kuyaona macho yako ukiyafumba natamani kusikia sauti zako za chini za ndoto zako za usiku natamani kukuona ukijegeuza geuza kitandani natamani busu lako lakunitakia usiku mwema lakini yote hayo hayawezekani kwakua upo mbali nakupenda dear

 
 

Post a Comment

Previous Post Next Post