Pendo si ndege ukaonekana angani upendo si tunda lichumwalo mtini upendo si wimbo ningekuimbia upendo si vazi ningekushonea upendo ni thamani iliyoko moyoni mwangu nakupenda NAKUTAKIA SIKU NJEMA ++++++++++++++++++++++++++ hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kilasiku naishia utamu kuusikilizia njozini unaponijia najiuliza ni lini utanivulia niachane na hizi ndoto zinazonijia kila wakati mpenzi
++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++
Post a Comment