SMS ya Birthday ya kumtakia mpenzi wako heri ya sikukuu ya kuzaliwa


Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia,

hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia,
hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,
zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.
Happy Birthday mpenzi.

Post a Comment

Previous Post Next Post