SMS ZA KUMVUTIA MPENZI WAKO ILI AKUPENDE ZAIDIIII


                                   SMS 10 MPYA ZA MAPENZI Sms MPYA | 49 Quotes

. Sikuwa najua kwanini haswa mtu anaweza kumuangalia mwingine na kutabasamu bila sababu                  zozote hadi ule wakati nilipokutana na wewe. Nataka uwe wangu.



. Mapenzi si kitu ambacho kinaeleweka, wala pia si kitu unachokihisi, huwezi kukipokea wala                          kupeana, mapenzi huja tu. Ndio maana nimejikuta nimekupenda mpenzi wangu

Post a Comment

Previous Post Next Post