>Nipo dukani nafikria nikununulie zawadi gani kubwa kuliko zote. >Nimeona “UPENDO” inavutia,
>pembeni nikaona tena “AMANI” inapendeza, >sijasogea nikaona “FURAHA” nikacheka nikabeba vyote, >nilipotaka kulipa mwenye duka kaniambia “MUNGU” keshanilipia, nami nimevituma kwako naomba uvipokee. Nakutakia ucku mwema!
…………………..
Hongera umezawadiwa safari ya kwenda KULALA iliyoandaliwa na shirika la USIKU na kudhaminiwa na kampuni ya USINGIZI utapanda gari aina ya KITANDA lenye namba za usajili NJOZI NJEMA ukiwa safarini unashauriwa kufunga mkanda aina ya NETI au SHUKA ili kujikinga na AJALI ya MALARIA.Pia usikose kupulizia dawa.
……………………

Post a Comment